L'Associazione Radicale Certi Diritti ha tradotto in lingua swahili il testo integrale dell’intervento del Segretario di Stato americano, Hillary Clinton, tenuto il 6 dicembre a Ginevra alla Conferenza internazionale dall’Alto Commissariato delle Nazioni Unite per i Rifugiati in occasione della giornata mondiale dei Diritti Umani alla quale hanno partecipato oltre 145 paesi. Shirika la Radikali Certi Diritti (Haki za Kihakika) limetafsiri matini mazima ya hotuba ya Katibu wa Taifa la Serikali ya Marekani, Hillary Clinton, aliyoinena tarehe sita mwezi wa kumi na mbili mjini Geneva kwenye Kongamano la kimataifa linaloandaliwa na Wizara Kuu ya Umoja wa Mataifa kwa Wakimbizi wa Kisiasa kwa ajili ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu ambayo mataifa mia na arobaini na tano yameshiriki.





